Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Address

Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Bukoba
Tanzania
Mwanza Mwanza
Tanzania - 41205

Social links
j**********@g*****.com +255*********8239
Contact Information

Phone

(+255) *********8239

Email

j**********@g*****.com
Timings
Monday 10:00 AM - 07:00 PM
Tuesday 10:00 AM - 07:00 PM
Wednesday 10:00 AM - 07:00 PM
Thursday 10:00 AM - 07:00 PM
Friday 10:00 AM - 07:00 PM
Saturday 10:00 AM - 07:00 PM
Sunday Closed

AFYA TIPS

AFYA TIPS

By Jance Max | Mon, 29-Sep-2025, 01:51

*UTI Sugu, PID Sugu = USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA , Stop Usimeze Antibiotic Tena Kabla Hujasoma Ukweli Huuβ€¦πŸ‘‡*

Umeshawahi kujiuliza kwanini unapewa antibiotics leo, unapata nafuu kidogo, kisha baada ya muda kidogo tatizo linajirudia tena....?

Unatembea kutoka duka moja la dawa hadi jingine, kila dozi unayojaribu haina jibu la kudumuβ€¦β˜ οΈ

> *Hali hiyo si bahati mbaya,Β  Ni USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA....πŸ‘‡*

β€” Hali ambayo mwili wako unakuwa uwanja wa majaribio, na wadudu wanao ishinda dawa badala ya dawa kuwashinda wao..

*Kwa nini inatokea..?* πŸ‘‡

Kwa sababu kila mara unatumia antibiotics bila mpangilio sahihi, bila vipimo na ushauri wa dakitari, bila kukamilisha dozi zako, Ndiyo mwanzo wa vimelea kuwa sugu....

Ni kama vile unawapa nafasi ya kwenda shule, kuhitimu na kupata degree ya usugu...☠️

*Matokeo yake ni nini.?* πŸ‘‡

↳ Maambukizi yanayorudia rudia na kukataa dawa..

↳ Gharama kubwa ya matibabu kila siku...

↳ Hatari ya matatizo makubwa zaidi mwilini mwako...

Sio kila homa ni UTI, Sio kila maumivu ni PID, Na sio kila antibiotic unayoiona dukani inakuhusu..

Tiba siyo dawa pekee. Ni nidhamu, ushauri wa kitaalamu na uelewa sahihi....


*Kama una UTI sugu, au PID inayorudia rudia kila baada ya kutumia dawa…*

Nakushauri fanya Culture and Sensitivity Test kabla ya kumeza antibiotic nyingine...STOP βœ‹οΈ

*Kwa nini.?* πŸ‘‡

↳ Culture test inatafuta aina halisi ya kimelea (bakteria) kilichosababisha maambukizi....

↳ Sensitivity test inaonyesha dawa ipi inaua vimelea hivyo na zipi hazifanyi kazi...


*Faida zake.!* πŸ‘‡

↳ Unaepuka kutumia dawa kwa kubahatisha...

↳ Unalinda mwili wako usije ukawa uwanja wa majaribio ya antibiotic...

↳ Unapunguza hatari ya vimelea kujenga usugu wa kudumu...

*NB:* Kabla hujaanza dozi ya antibiotic kwa UTI, PID, au maambukizi yoyote yanayo jirudia mara kwa mara..

Muombe daktari ufanye culture and sensitivity test , Ni gharama ndogo ikilinganishwa na madhara makubwa ya kutumia dawa zisizofaa..

Uko tayari kuendelea kucheza na mwili wako, au uta fundisha akili yako nidhamu ya tiba sahihi kabla vimelea havijapata Ushindi wa mwisho dhidi ya dawa...?

Tags:

Share Via:



Send A Message

×
×

Relatd 100

Similar websites

Enter your email to get exciting updates from us!

×
×

Contact Us

Have any queries ? Feel free to Contact us

Contact Us Now

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

IMPORTANT NOTICE
DISCLAIMER

This website was created by a user of Websites.co.in, a free instant website builder. Websites.co.in does NOT endorse, verify, or guarantee the accuracy, safety, or legality of this site's content, products, or services. Always exercise caution do not share sensitive data or make payments without independent verification. Report suspicious activity by clicking the report abuse below.

© 2026 BY Aros Cyber
3032 views
WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;