You Searched for "update"
11 results found.
UKE MKAVU SIO TATIZO
https://jance.com.free/update/uke-mkavu-sio-tatizo/3357932
Uke mkavu siyo tu tatizo la kimwiliβ ni reflex ya kibiolojia inayotokana na mabadiliko ya ndani ya mfumo wa mwanamke...
Ipo hivi, unyevu wa uke unasimamiwa na homoni ya estrogen, progesterone, na oxytocin....
βHomoni zinazohusiana moja kwa moja na hisia, hamu ya tendo na mzunguko wa damu kwenye eneo la uke....
Wakati kiwango cha estrogen kinaposhuka kwa sababu ya stress, kukosa usingizi, lishe duni, au mabadiliko ya hedhi, tezi zinazozalisha ute wa uke hupunguza uzalishaji wake...
Wakati h...
AFY NI MTAJI
https://jance.com.free/update/afy-ni-mtaji/3289542
.Kuna Kipindi Unaweza Ukakaa Ukaangalia Na Kutafakari Maisha Yako, Ukajisemea...πΒ
> "Katika Umri Huu Nilionao Mbona Sina Kitu!"
Ngoja Nikuambie Kitu, "Afya Uliyonayo Ni Kitu Kikubwa Kuliko Hicho Kitu Unachofikiria Hauna".
Umenielewa..tembelea website yetu π Kama upo Active ndani ya Jukwaa hili..π©Ίπ«‘
JIFUNZE KUIMARISHA UJASIRI WAKO π
https://jance.com.free/update/jifunze-kuimarisha-ujasiri-wako/3283203
.Siri ya Kuwa Mwanaume Rijali, Jifunze Mbinu na Namna ya Kuimarisha Ujasiri wako, na Afya njema ya Uzazi.π©Ί
JE..!? Nifanye nini kujiimarisha bila madawa hatari ya kuboost za nguvu za kiume...?
Naenda kukupatia majibu ya maswali yako ndani ya Sekunde 60 zijazo..
Ni kwanini nimekuandikia elimu hii leo.? Hii ndio sababu kuu..SOMA KWA MAKINI.π
Now days Kumekuwa na Wimbi Kubwa la Utumiaji wa Madawa Ya kuongeza Nguvu za kiume kama...
β Viagra, Erecto pills, Mkongo, Virutubisho mbadala mitandaon...
VITAMIN
https://jance.com.free/update/vitamin/3289575
Unakosa hamu ya kula? Miguu imekuwa dhaifu? Mgongo kuuma Unakosa hisia?
Hali hiyo inaweza kuwa ishara ya upungufu wa Vitamini B1 (Thiamine)Β
kirutubisho muhimu kwa afya ya neva, misuli, na akili yako....
Upungufu wa Vitamini B1 unaweza kusababisha...
β Kukosa hamu ya kula
β Udhaifu wa miguu na misuli
β Kupungua kwa hisia kwenye neva
β Magonjwa ya kisaikolojia (mfano: huzuni, kuchanganyikiwa N.K)
Najuwa utaniuliza Suluhisho Nini...?Β
Hakikisha unapata vyakula vyenye Vitamini B1 kwa wi...
MBEGU ZA MATIKTI
https://jance.com.free/update/mbegu-za-matikti/3289558
.*Ukiyafahamu Haya Hutozitupa TENA Mbegu za Matikiti...π©Ί*
Je..? Unazitupa Mbegu za Matikiti? Kwanini?
Kila unapokula tikiti maji, mbegu zake huonekana kama taka zisizofaa...
Je, unajua mbegu hizi zina uwezo wa kuboresha afya yako ya uzazi na kukuongezea nguvu..?Β
Elimu hii itakufungua macho kwa faida za mbegu za matikiti kwa wanaume na wanawake...π
*β Tuone mbegu za Matikiti na Afya ya Uzazi wa Mwanaume...*
Mbegu za matikiti ni chanzo bora cha madini ya zinki, ambayo ni muhimu kwa afya...
MBEGU ZA MATIKTI
https://jance.com.free/update/mbegu-za-matikti/3289552
.*Ukiyafahamu Haya Hutozitupa TENA Mbegu za Matikiti...π©Ί*
Je..? Unazitupa Mbegu za Matikiti? Kwanini?
Kila unapokula tikiti maji, mbegu zake huonekana kama taka zisizofaa...
Je, unajua mbegu hizi zina uwezo wa kuboresha afya yako ya uzazi na kukuongezea nguvu..?Β
Elimu hii itakufungua macho kwa faida za mbegu za matikiti kwa wanaume na wanawake...π
*β Tuone mbegu za Matikiti na Afya ya Uzazi wa Mwanaume...*
Mbegu za matikiti ni chanzo bora cha madini ya zinki, ambayo ni muhimu kwa afya...
UMUHIMU WA KITUNGUU MAJI
https://jance.com.free/update/umuhimu-wa-kitunguu-maji/3257667
.*Siri ya Vitunguu Maji, Vitunguu Swaumu na Tangawizi, Kwenye Vita Dhidi ya Uzito kupitia kiasi (Obesity)*
Mwili wako umebeba mabilioni ya seli za mafuta...
Lakini je, unajua ni wapi zinajificha zaidi na kwa nini..?
*Mafuta ya tumbo hujikusanya kwa njia mbili kuu* π
1. Mafuta chini ya ngozi...
2. Mafuta yanayozunguka ogani muhimu kama moyo, ini na kongosho
Na hizo seli za mafuta hazipo tu kwa ajili ya muonekano, bali huathiri:
β³ Mfumo wa homoni
β³ Usagaji wa chakula
β³ Na hata uwezo wa...
AFYA TIPS
https://jance.com.free/update/afya-tips/3254661
*UTI Sugu, PID Sugu = USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA , Stop Usimeze Antibiotic Tena Kabla Hujasoma Ukweli Huuβ¦π*
Umeshawahi kujiuliza kwanini unapewa antibiotics leo, unapata nafuu kidogo, kisha baada ya muda kidogo tatizo linajirudia tena....?
Unatembea kutoka duka moja la dawa hadi jingine, kila dozi unayojaribu haina jibu la kudumuβ¦β οΈ
> *Hali hiyo si bahati mbaya,Β Ni USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA....π*
β Hali ambayo mwili wako unakuwa uwanja wa majaribio, na wadudu wanao ishinda daw...