.Kumwaga mapema wakati wa maandalizi sio ugonjwa, na wala huitaji dawa yoyote ya dukaniβ¦
- Kitaalamu, hali hii hujulikana kama Premature Ejaculation (PE)...
- Ni kama kengele ya mwili wako kukwambia, βKuna kitu hakipo sawa kwenye mfumo wa hisia zako.β
Mara nyingi, chanzo chake hakipo kwenye mwili tu, bali pia kwenye psychology yako....π
β³ Historia ya punyetoo
β³ Kuangalia video za ngonoo
β³ Na kuzoesha mwili wako upate msisimko wa haraka.
Matokeo yake..?
β³ Nerves kwenye kichwa cha uume zinakuwa na hypersensitive...(Msisimko kali)
β³ Saikolojia yako inajifunza shortcut ya kumaliza mapema...
ⳠMwisho unakosa confidence kitandani⦠na kuanza kuamini unahitaji (BOOSTER)
ⳠLakini ukweli ni huu⦠HUHITAJI dawa yoyote..
Tatizo hili linahitaji mambo matatu ya msingi kukabiliana nalo kitaalamu....π
1. Kutibu akili yako (psychological reprogramming) βKujifunza mbinu za kudhibiti msisimko na hofu...
2. Kufundisha mwili wako upya (nerve desensitization + exercises)...
3. Kubadilisha mfumo wa maisha (detox, lishe, na mazoezi ya kegel)..
Sasa ni wewe kuamua...π
β³ Utaendelea kuamini mwili wako umeharibika,
β³ au uko tayari kujifunza namna ya kurekebisha akili na mwili wako bila dawa bila Booster..?
NB: Kama umechoka kuwa mtumwa wa hali hii, na upo tayari kuanza safari ya kuirudisha nguvu na kuijenga upya confidence yako, basi huu ndio wakati wako....π
Huu si mwongozo wa kawaida wa mitandaoniβ¦
β Ni mfumo maalumu wa hatua kwa hatua uliotengenezwa kwa wanaume kama wewe, ili kukata mnyororo wa Premature Ejaculation bila dawa....