Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Address

Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Bukoba
Tanzania
Mwanza Mwanza
Tanzania - 41205

Social links
j**********@g*****.com +255*********8239
Contact Information

Phone

(+255) *********8239

Email

j**********@g*****.com
Timings
Monday 10:00 AM - 07:00 PM
Tuesday 10:00 AM - 07:00 PM
Wednesday 10:00 AM - 07:00 PM
Thursday 10:00 AM - 07:00 PM
Friday 10:00 AM - 07:00 PM
Saturday 10:00 AM - 07:00 PM
Sunday Closed

MBEGU ZA MATIKTI

MBEGU ZA MATIKTI

By Jance Max | Sat, 18-Oct-2025, 22:00

  1. .*Ukiyafahamu Haya Hutozitupa TENA Mbegu za Matikiti...🩺*

    Je..? Unazitupa Mbegu za Matikiti? Kwanini?

    Kila unapokula tikiti maji, mbegu zake huonekana kama taka zisizofaa...

    Je, unajua mbegu hizi zina uwezo wa kuboresha afya yako ya uzazi na kukuongezea nguvu..?Β 

    Elimu hii itakufungua macho kwa faida za mbegu za matikiti kwa wanaume na wanawake...πŸ‘‡


    *β†’ Tuone mbegu za Matikiti na Afya ya Uzazi wa Mwanaume...*

    Mbegu za matikiti ni chanzo bora cha madini ya zinki, ambayo ni muhimu kwa afya ya tezi dume na kusaidia...

    ↳ Kupunguza uvimbe kwenye tezi dume...

    ↳ Kuboresha uzalishaji wa mbegu za kiume zenye ubora....

    ↳ Kupunguza hatari ya matatizo kama saratani ya tezi dume...

    *NB:* Kwa wanaume wanaotaka kuboresha uzazi, mbegu za matikiti ni nyongeza bora na yenye thamani SANA kwenye lishe yako...🫡


    *β†’ Kwa Wanawake Je..? Namna Mbegu za Matikiti Zinavyosaidia...*

    Kwa wanawake, mbegu za matikiti zina faida kubwa, ikiwa ni pamoja na..

    ↳ Kuimarisha usawa wa homoni, jambo muhimu kwa uzazi wenye afya.

    ↳ Kusaidia kupunguza matatizo ya hedhi yasiyokuwa na mpangilio...

    ↳ Kukuza afya ya mfumo wa uzazi kwa ujumla.

    ↳ Pia mbegu za tikiti ni nzuri sana kwa mama mjamzito na anaye nyonyesha...


    *β†’ Kwa pamoja tuone namna rahisi ya kutumia mbegu za matikiti..!*

    Badala ya kuzitupa, safisha na kausha mbegu za matikitiβ€” Unaweza...πŸ‘‡

    ↳ Kuzikaanga kidogo na kuzisaga, tumia unga wake kwenye saladi au supu...

    ↳ Kuziongezea kwenye juisi au smoothies yako ya kila siku...

    ↳ Kuzitafuna moja kwa moja kama kitafunwa, Ni nzuri ukichanganya na mbegu za maboga pamoja na almonds....

    *Ipo hivi....* πŸ‘‡

    Watu wengi hutupa mbegu za matikiti bila kujua β€”Kumbe ndizo siri ya nguvu, uzazi na kinga ya tezi dume...🩺

    β†’ Sasa hebu tufanye utafiti mdogo wa kitabibu hapa..

    Ningependa kujua mtazamo wako wa kiafya kabla hatujaingia deep kwenye tiba formula ya mbegu hizi..FUNGUKA TUMIA DAKIKA 1..πŸ‘‡

Tags:

Share Via:



Send A Message

×
×

Relatd 100

Similar websites

Enter your email to get exciting updates from us!

×
×

Contact Us

Have any queries ? Feel free to Contact us

Contact Us Now

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

IMPORTANT NOTICE
DISCLAIMER

This website was created by a user of Websites.co.in, a free instant website builder. Websites.co.in does NOT endorse, verify, or guarantee the accuracy, safety, or legality of this site's content, products, or services. Always exercise caution do not share sensitive data or make payments without independent verification. Report suspicious activity by clicking the report abuse below.

© 2026 BY Aros Cyber
3032 views
WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;