Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Address

Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Bukoba
Tanzania
Mwanza Mwanza
Tanzania - 41205

Social links
j**********@g*****.com +255*********8239
Contact Information

Phone

(+255) *********8239

Email

j**********@g*****.com
Timings
Monday 10:00 AM - 07:00 PM
Tuesday 10:00 AM - 07:00 PM
Wednesday 10:00 AM - 07:00 PM
Thursday 10:00 AM - 07:00 PM
Friday 10:00 AM - 07:00 PM
Saturday 10:00 AM - 07:00 PM
Sunday Closed

JIFUNZE KUIMARISHA UJASIRI WAKO πŸ†

JIFUNZE KUIMARISHA UJASIRI WAKO πŸ†

By Jance Max | Sun, 12-Oct-2025, 07:40

  • .Siri ya Kuwa Mwanaume Rijali, Jifunze Mbinu na Namna ya Kuimarisha Ujasiri wako, na Afya njema ya Uzazi.🩺

    JE..!? Nifanye nini kujiimarisha bila madawa hatari ya kuboost za nguvu za kiume...?

    Naenda kukupatia majibu ya maswali yako ndani ya Sekunde 60 zijazo..

    Ni kwanini nimekuandikia elimu hii leo.? Hii ndio sababu kuu..SOMA KWA MAKINI.πŸ‘‡

    Now days Kumekuwa na Wimbi Kubwa la Utumiaji wa Madawa Ya kuongeza Nguvu za kiume kama...

    β†’ Viagra, Erecto pills, Mkongo, Virutubisho mbadala mitandaoni, Booster za kupaka na kunywa..☠️

    Unakuta kijana kushindwa show kidogo Tu, Hofu, Nakukimbilia mitandaoni kutafuta Madawa...

    ↳ Bila kujua kwa undani mzizi wa tatizo hilo au kutokujua tatizo limesababishwa na kitu gani hasa...

    Ipo hivi...

    Muda mwingi niswala la kisaikolojia Tu, Na wewe bila kujua unatwanga madawa ya nguvu za kiume...

    Ngoja nikuibie siri ambayo huto ambiwa popote pale, Hasa hawa wauza midawa ya nguvu za kiume hawa wezi kukuambia..!!

    Unapotumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume zinaku BOOSTERLazima tatizo lirudi na siku usipotumia ni aibu ya mwaka unaipata...

    ↳ Uume kuwa legelege,Β 
    ↳ Kushindwa kuunganisha bao zaidi ya moja,Β 
    ↳ Uume kusinyaa kama wa mtoto baada ya kumwaga bao la kwanza..

    Utumiaji wa Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume una madhara hadi kwenye mfumo mzima wa mwili na hii ni..

    Kutokana na Ripoti Iliyotolewa Tarehe 6 September 2023 na kaimu Mkurugenzi Udhibiti wa Dawa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Dk. Yonah Mwalwisi....

    Inasema..

    Mojawapo ya Madhara ya kutumia Dawa za Kuongeza nguvu za kiume ni pamoja na..

    ↳ Utegemezi wa madawa hayo mpaka kufa kwako.

    ↳ Maumivu makali sana sehemu za siri.

    ↳ Zinaharibu mishipa ya uume na kuifanya ilegee.

    ↳ Kutanua mishipa ya moyo.

    ↳ Mshtuko wa moyo.

    ↳ Kifo cha Ghafla.

    NB: Ili utibu tatizo hilo kwa usahihi kabisa lazima utibu mizizi ya tatizo hilo, Inaweza kuwa kati sababu zifuatazo...


    - NgiriΒ 
    - Tezi dume
    - Punyeto (kujichua)
    - Uzito mkubwa kupitiliza
    - Matatizo ya kisaikolojia, yanayo tokana na
    - Uraibu wa video za Ngono (Pornography).
    - Ugonjwa wa Kisukari, Shinikizo la damu.

    Kwa hiyo, ukitaka kurudisha heshima yako, nguvu zako, na ujasiri wako wa kiume, anza kwa kutibu mzizi, sio kutumia booster..

    Swali Ni..?

    Je.? Utawezaje kurudisha heshima yako iliyopotea, kuunganisha bao moja na la pili ndani ya dakika 5, uume kusimama imara wakati wowote..

    Hope, Umejifunza mengi leo, sasa chukua hatua ya mabadiliko yako...

Categories

Tags:

Share Via:



Send A Message

×
×

Relatd 100

Similar websites

Enter your email to get exciting updates from us!

×
×

Contact Us

Have any queries ? Feel free to Contact us

Contact Us Now

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

IMPORTANT NOTICE
DISCLAIMER

This website was created by a user of Websites.co.in, a free instant website builder. Websites.co.in does NOT endorse, verify, or guarantee the accuracy, safety, or legality of this site's content, products, or services. Always exercise caution do not share sensitive data or make payments without independent verification. Report suspicious activity by clicking the report abuse below.

© 2026 BY Aros Cyber
3032 views
WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;