Unakosa hamu ya kula? Miguu imekuwa dhaifu? Mgongo kuuma Unakosa hisia?
Hali hiyo inaweza kuwa ishara ya upungufu wa Vitamini B1 (Thiamine)Β
kirutubisho muhimu kwa afya ya neva, misuli, na akili yako....
Upungufu wa Vitamini B1 unaweza kusababisha...
β Kukosa hamu ya kula
β Udhaifu wa miguu na misuli
β Kupungua kwa hisia kwenye neva
β Magonjwa ya kisaikolojia (mfano: huzuni, kuchanganyikiwa N.K)
Najuwa utaniuliza Suluhisho Nini...?Β
Hakikisha unapata vyakula vyenye Vitamini B1 kwa wingi...
Chagua mlo wenye nguvu kutoka katika...
Nyama kama ya ngβombe, nguruwe, sungura na kuku...
Samaki na dagaa wa maji chumvi kama kamba, pweza na ngisi...
Usisahau mbegu kama Karanga, korosho, almonds, Mbegu za maboga, chia, na tikiti...Ni muhimu....
Matunda ni dawa, Kula kwa wingiβ Machungwa, tufaa, ndizi, tikiti maji N.K...
MWILI UNATAKA MAJIβ USIPUUZE..!
Kunywa maji ya kutosha kila siku kusaidia mwili kutumia vizuri vitamini hizi...
Kumbukaβ Lishe sahihi ni kinga bora kuliko tiba....! ANZA LEO...π«΅