Uke mkavu siyo tu tatizo la kimwiliβ ni reflex ya kibiolojia inayotokana na mabadiliko ya ndani ya mfumo wa mwanamke...
Ipo hivi, unyevu wa uke unasimamiwa na homoni ya estrogen, progesterone, na oxytocin....
βHomoni zinazohusiana moja kwa moja na hisia, hamu ya tendo na mzunguko wa damu kwenye eneo la uke....
Wakati kiwango cha estrogen kinaposhuka kwa sababu ya stress, kukosa usingizi, lishe duni, au mabadiliko ya hedhi, tezi zinazozalisha ute wa uke hupunguza uzalishaji wake...
Wakati huo huo, msongo wa mawazo (stress) husababisha mwili kutoa cortisolβ homoni ya βfight or flight.β....
Matokeo yake?
β³ Ubongo unazima mfumo wa uzazi kwa muda.Β Β
β³ Damu inapungua kuelekea sehemu za siri.Β Β
β³ Na hisia za kimapenzi hupungua ghafla.
Kwa lugha nyepesi, unapokuwa na stress au mwili umechoka, ubongo hauoni tendo la ndoa kama starehe βbali kama mzigo...
Hapo ndipo uke unakauka, hisia zinapotea, na maumivu ya tendo huanza....
Ndiyo maana dawa za nje kama cream au jeli haziwezi kusaidiaβ zinapakwa juu ya ngozi, lakini chanzo kiko ndani ya mfumo wa homoni na ubongo...
NB: Tiba sahihi huanza kwa kutuliza akili, kurekebisha lishe, kurejesha homoni katika usawa, na kuimarisha mzunguko wa damu...
Β Na hii ndiyo sayansi tiba ya ndani ya uke, mwili wako haujakusalitiβ unajaribu kuzungumza..
Swali je!? "Unasikiliza? Au ndo kwanza unatumia vilainishi..?" π