..Wanaume wengi hufikiria nguvu za kitandani zinapatikana haraka kwa kutafuna nazi, karanga au mihogo dakika chache kabla ya tendo..π
Ukweli mchungu ni huu...π
Nguvu zako hazitoki kwenye sahani ya harakaβzinatoka kwenye maandalizi ya akili (psychological readiness), Mzunguko mzuri wa damu na confidence ya kichwa π§ πͺ...
β³ Usipoteze muda kungβata nazi dakika 5 kabla ya game..
β³ Tumia muda kujitengenezea maandalizi ya saikolojia na kuondoa hofu, ndipo performance yako inakuwa bora zaidi..
Mwili unafuata kichwaβ Ukitulia, akili ikawa tayari, hata mwili hutulia na kushirikiana vizuri..
Kitaalamu, maandalizi ya kichwa yako ndiyo silaha kuu ya performance bora kitandani... *Hello* ππ
Nguvu za kiume sio ugonjwa unaotibiwa kwa dawa za dukani...
β Nguvu zako zipo ndani yako, na zinaamuliwa zaidi kwenye kichwa chako (psychology) kuliko kwenye tembe au vidonge.....
Epuka kudanganywa na βBOOSTER β za harakaβ
Ukijua jinsi ya kuandaa akili yako na mwili wako kitaalamu, hutahitaji dawa wala ahadi za uongo... πͺπ§