Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Address

Jance Medics πŸ‡¦πŸ‡±

Bukoba
Tanzania
Mwanza Mwanza
Tanzania - 41205

Social links
j**********@g*****.com +255*********8239
Contact Information

Phone

(+255) *********8239

Email

j**********@g*****.com
Timings
Monday 10:00 AM - 07:00 PM
Tuesday 10:00 AM - 07:00 PM
Wednesday 10:00 AM - 07:00 PM
Thursday 10:00 AM - 07:00 PM
Friday 10:00 AM - 07:00 PM
Saturday 10:00 AM - 07:00 PM
Sunday Closed

SEARCH

You Searched for "afya tips"
10 results found.

AFY NI MTAJI
https://jance.com.free/update/afy-ni-mtaji/3289542
.Kuna Kipindi Unaweza Ukakaa Ukaangalia Na Kutafakari Maisha Yako, Ukajisemea...πŸ‘‡Β  > "Katika Umri Huu Nilionao Mbona Sina Kitu!" Ngoja Nikuambie Kitu, "Afya Uliyonayo Ni Kitu Kikubwa Kuliko Hicho Kitu Unachofikiria Hauna". Umenielewa..tembelea website yetu πŸ‘ Kama upo Active ndani ya Jukwaa hili..🩺🫑

JIFUNZE KUIMARISHA UJASIRI WAKO πŸ†
https://jance.com.free/update/jifunze-kuimarisha-ujasiri-wako/3283203
.Siri ya Kuwa Mwanaume Rijali, Jifunze Mbinu na Namna ya Kuimarisha Ujasiri wako, na Afya njema ya Uzazi.🩺 JE..!? Nifanye nini kujiimarisha bila madawa hatari ya kuboost za nguvu za kiume...? Naenda kukupatia majibu ya maswali yako ndani ya Sekunde 60 zijazo.. Ni kwanini nimekuandikia elimu hii leo.? Hii ndio sababu kuu..SOMA KWA MAKINI.πŸ‘‡ Now days Kumekuwa na Wimbi Kubwa la Utumiaji wa Madawa Ya kuongeza Nguvu za kiume kama... β†’ Viagra, Erecto pills, Mkongo, Virutubisho mbadala mitandaon...

AFYA TIPS
https://jance.com.free/update/afya-tips/3253298
Pata elimu ushauri na dondoo za afya kila siku na DR AROSΒ  Uliza maswali na wasiliana nasi kila sikuΒ 

VITAMIN
https://jance.com.free/update/vitamin/3289575
Unakosa hamu ya kula? Miguu imekuwa dhaifu? Mgongo kuuma Unakosa hisia? Hali hiyo inaweza kuwa ishara ya upungufu wa Vitamini B1 (Thiamine)Β  kirutubisho muhimu kwa afya ya neva, misuli, na akili yako.... Upungufu wa Vitamini B1 unaweza kusababisha... β€” Kukosa hamu ya kula β€” Udhaifu wa miguu na misuli β€” Kupungua kwa hisia kwenye neva β€” Magonjwa ya kisaikolojia (mfano: huzuni, kuchanganyikiwa N.K) Najuwa utaniuliza Suluhisho Nini...?Β  Hakikisha unapata vyakula vyenye Vitamini B1 kwa wi...

SIRI YA MIHOGO
https://jance.com.free/update/siri-ya-mihogo/3289563
..Wanaume wengi hufikiria nguvu za kitandani zinapatikana haraka kwa kutafuna nazi, karanga au mihogo dakika chache kabla ya tendo..😁 Ukweli mchungu ni huu...πŸ‘‡ Nguvu zako hazitoki kwenye sahani ya harakaβ€”zinatoka kwenye maandalizi ya akili (psychological readiness), Mzunguko mzuri wa damu na confidence ya kichwa 🧠πŸ’ͺ... ↳ Usipoteze muda kung’ata nazi dakika 5 kabla ya game.. ↳ Tumia muda kujitengenezea maandalizi ya saikolojia na kuondoa hofu, ndipo performance yako inakuwa bora zaidi.....

MBEGU ZA MATIKTI
https://jance.com.free/update/mbegu-za-matikti/3289558
.*Ukiyafahamu Haya Hutozitupa TENA Mbegu za Matikiti...🩺* Je..? Unazitupa Mbegu za Matikiti? Kwanini? Kila unapokula tikiti maji, mbegu zake huonekana kama taka zisizofaa... Je, unajua mbegu hizi zina uwezo wa kuboresha afya yako ya uzazi na kukuongezea nguvu..?Β  Elimu hii itakufungua macho kwa faida za mbegu za matikiti kwa wanaume na wanawake...πŸ‘‡ *β†’ Tuone mbegu za Matikiti na Afya ya Uzazi wa Mwanaume...* Mbegu za matikiti ni chanzo bora cha madini ya zinki, ambayo ni muhimu kwa afya...

MBEGU ZA MATIKTI
https://jance.com.free/update/mbegu-za-matikti/3289552
.*Ukiyafahamu Haya Hutozitupa TENA Mbegu za Matikiti...🩺* Je..? Unazitupa Mbegu za Matikiti? Kwanini? Kila unapokula tikiti maji, mbegu zake huonekana kama taka zisizofaa... Je, unajua mbegu hizi zina uwezo wa kuboresha afya yako ya uzazi na kukuongezea nguvu..?Β  Elimu hii itakufungua macho kwa faida za mbegu za matikiti kwa wanaume na wanawake...πŸ‘‡ *β†’ Tuone mbegu za Matikiti na Afya ya Uzazi wa Mwanaume...* Mbegu za matikiti ni chanzo bora cha madini ya zinki, ambayo ni muhimu kwa afya...

.UKWELI MCHUNGU AMBAO HUWEZI KUAMBI POPOTE PALE.....
https://jance.com.free/update/ukweli-mchungu-ambao-huwezi-kuambi-popote-pale/3269535
.UKWELI MCHUNGU AMBAO HUWEZI KUAMBI POPOTE PALE..... Kila siku unashawishiwa kununua "Rijali package πŸ“¦", mwingine anakwambia "kiboko ya vibamia", mwingine anakudanganya eti kikombe cha kahawa fulani kitakurudishia uume wako nguvu zote...πŸ˜„ Lakini ukweli ni huu....πŸ‘‡ β€” Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, Kama kitu siyo ugonjwa, je dawa inahitajika kweli? Haya unameza mavidoge Unatibu Nini..? πŸ€” Ukiona mtu nakushawishi kwa kukutia hofu na maneno matamu ya kupona kwa kutumia dawa zake k...

UMUHIMU WA KITUNGUU MAJI
https://jance.com.free/update/umuhimu-wa-kitunguu-maji/3257667
.*Siri ya Vitunguu Maji, Vitunguu Swaumu na Tangawizi, Kwenye Vita Dhidi ya Uzito kupitia kiasi (Obesity)* Mwili wako umebeba mabilioni ya seli za mafuta... Lakini je, unajua ni wapi zinajificha zaidi na kwa nini..? *Mafuta ya tumbo hujikusanya kwa njia mbili kuu* πŸ‘‡ 1. Mafuta chini ya ngozi... 2. Mafuta yanayozunguka ogani muhimu kama moyo, ini na kongosho Na hizo seli za mafuta hazipo tu kwa ajili ya muonekano, bali huathiri: ↳ Mfumo wa homoni ↳ Usagaji wa chakula ↳ Na hata uwezo wa...

AFYA TIPS
https://jance.com.free/update/afya-tips/3254661
*UTI Sugu, PID Sugu = USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA , Stop Usimeze Antibiotic Tena Kabla Hujasoma Ukweli Huuβ€¦πŸ‘‡* Umeshawahi kujiuliza kwanini unapewa antibiotics leo, unapata nafuu kidogo, kisha baada ya muda kidogo tatizo linajirudia tena....? Unatembea kutoka duka moja la dawa hadi jingine, kila dozi unayojaribu haina jibu la kudumuβ€¦β˜ οΈ > *Hali hiyo si bahati mbaya,Β  Ni USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA....πŸ‘‡* β€” Hali ambayo mwili wako unakuwa uwanja wa majaribio, na wadudu wanao ishinda daw...

You Searched for "afya tips"
1 results found.

ABOUT US
https://jance.com.free/pages/about-us/462054
ο»Ώ.πŸŽ‰ πŸ‘‹πŸ½ Karibu Sana JANCE COMPANY – Jamii Yako ya Burudani na Maarifa! πŸ‡¦πŸ‡±Β Β πŸ“² Platform pekee inayokuchanganyia vicheko, maarifa na afya yako kwa ustadi wa hali ya juu ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━   TUNAKUPA: 🎭 Vichekesho vya kisasa – uliza uchezwe! πŸ”₯ Udaku wa kitaani & Global Trends!Β  πŸ“‘ Habari moto moto, muziki, na michezo kwa ladha ya JANCE! 🀯 Fun Facts zenye kukushangaza kila siku! πŸ’‰ Afya Tips – unavyopaswa kuijua afya yako kwa njia rahisi ❓ Nafasi ya kuuliza maswali ya kiafya LIVE! πŸ“ž Sup...

Similar websites

Enter your email to get exciting updates from us!

×
×

Contact Us

Have any queries ? Feel free to Contact us

Contact Us Now

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

IMPORTANT NOTICE
DISCLAIMER

This website was created by a user of Websites.co.in, a free instant website builder. Websites.co.in does NOT endorse, verify, or guarantee the accuracy, safety, or legality of this site's content, products, or services. Always exercise caution do not share sensitive data or make payments without independent verification. Report suspicious activity by clicking the report abuse below.

© 2026 BY Aros Cyber
3032 views
WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;