.*Ukiyafahamu Haya Hutozitupa TENA Mbegu za Matikiti...π©Ί*
Je..? Unazitupa Mbegu za Matikiti? Kwanini?
Kila unapokula tikiti maji, mbegu zake huonekana kama taka zisizofaa...
Je, unajua mbegu hizi zina uwezo wa kuboresha afya yako ya uzazi na kukuongezea nguvu..?Β
Elimu hii itakufungua macho kwa faida za mbegu za matikiti kwa wanaume na wanawake...π
*β Tuone mbegu za Matikiti na Afya ya Uzazi wa Mwanaume...*
Mbegu za matikiti ni chanzo bora cha madini ya zinki, ambayo ni muhimu kwa afya ya tezi dume na kusaidia...
β³ Kupunguza uvimbe kwenye tezi dume...
β³ Kuboresha uzalishaji wa mbegu za kiume zenye ubora....
β³ Kupunguza hatari ya matatizo kama saratani ya tezi dume...
*NB:* Kwa wanaume wanaotaka kuboresha uzazi, mbegu za matikiti ni nyongeza bora na yenye thamani SANA kwenye lishe yako...π«΅
*β Kwa Wanawake Je..? Namna Mbegu za Matikiti Zinavyosaidia...*
Kwa wanawake, mbegu za matikiti zina faida kubwa, ikiwa ni pamoja na..
β³ Kuimarisha usawa wa homoni, jambo muhimu kwa uzazi wenye afya.
β³ Kusaidia kupunguza matatizo ya hedhi yasiyokuwa na mpangilio...
β³ Kukuza afya ya mfumo wa uzazi kwa ujumla.
β³ Pia mbegu za tikiti ni nzuri sana kwa mama mjamzito na anaye nyonyesha...
*β Kwa pamoja tuone namna rahisi ya kutumia mbegu za matikiti..!*
Badala ya kuzitupa, safisha na kausha mbegu za matikitiβ Unaweza...π
β³ Kuzikaanga kidogo na kuzisaga, tumia unga wake kwenye saladi au supu...
β³ Kuziongezea kwenye juisi au smoothies yako ya kila siku...
β³ Kuzitafuna moja kwa moja kama kitafunwa, Ni nzuri ukichanganya na mbegu za maboga pamoja na almonds....
*Ipo hivi....* π
Watu wengi hutupa mbegu za matikiti bila kujua βKumbe ndizo siri ya nguvu, uzazi na kinga ya tezi dume...π©Ί
β Sasa hebu tufanye utafiti mdogo wa kitabibu hapa..
Ningependa kujua mtazamo wako wa kiafya kabla hatujaingia deep kwenye tiba formula ya mbegu hizi..FUNGUKA TUMIA DAKIKA 1..π