.*Siri ya Vitunguu Maji, Vitunguu Swaumu na Tangawizi, Kwenye Vita Dhidi ya Uzito kupitia kiasi (Obesity)*
Mwili wako umebeba mabilioni ya seli za mafuta...
Lakini je, unajua ni wapi zinajificha zaidi na kwa nini..?
*Mafuta ya tumbo hujikusanya kwa njia mbili kuu* π
1. Mafuta chini ya ngozi...
2. Mafuta yanayozunguka ogani muhimu kama moyo, ini na kongosho
Na hizo seli za mafuta hazipo tu kwa ajili ya muonekano, bali huathiri:
β³ Mfumo wa homoni
β³ Usagaji wa chakula
β³ Na hata uwezo wa mapafu kupumua kwa ufanisi..
Lakini habari njema ni hii...
Mwili wako unaweza kuamshwa kiasili kuanza kuyeyusha mafuta haya hatariΒ
βNa hapa ndipo Combo ya Asili inapoingia kwa nguvu... π₯
π§
Vitunguu maji...
β³ Huvunja mafuta yaliyoganda
β³ Husafisha mishipa ya damu
β³ Hupunguza kiwango cha kolesteroli mbaya (LDL)
π§ Kitunguu swaumu:
β³ Huchochea kimetaboliki
β³ Huzuia hamu isiyo ya lazima ya kula
β³ Huongeza mzunguko wa damu
π± Tangawizi:
β³ Ni moto wa asili unaochoma mafuta
β³ Hupunguza uvimbe tumboni (bloating)
β³ Hutoa joto la ndani linalosaidia mwili kuyeyusha mafuta kwa haraka zaidi
NBOBESITY: Siri ya Vitunguu Maji, Vitunguu Swaumu na Tangawizi, Kwenye Vita Dhidi ya Uzito kupitia kiasi (Obesity)
Mwili wako umebeba mabilioni ya seli za mafuta...
Lakini je, unajua ni wapi zinajificha zaidi na kwa nini..?
Mafuta ya tumbo hujikusanya kwa njia mbili kuu...
1. Mafuta chini ya ngozi...
2. Mafuta yanayozunguka ogani muhimu kama moyo, ini na kongosho
Na hizo seli za mafuta hazipo tu kwa ajili ya muonekano, bali huathiri:
β³ Mfumo wa homoni
β³ Usagaji wa chakula
β³ Na hata uwezo wa mapafu kupumua kwa ufanisi..
Lakini habari njema ni hii...
Mwili wako unaweza kuamshwa kiasili kuanza kuyeyusha mafuta haya hatariΒ
βNa hapa ndipo Combo ya Asili inapoingia kwa nguvu... π₯
π§
Vitunguu maji...
β³ Huvunja mafuta yaliyoganda
β³ Husafisha mishipa ya damu
β³ Hupunguza kiwango cha kolesteroli mbaya (LDL)
π§ Kitunguu swaumu:
β³ Huchochea kimetaboliki
β³ Huzuia hamu isiyo ya lazima ya kula
β³ Huongeza mzunguko wa damu
π± Tangawizi:
β³ Ni moto wa asili unaochoma mafuta
β³ Hupunguza uvimbe tumboni (bloating)
β³ Hutoa joto la ndani linalosaidia mwili kuyeyusha mafuta kwa haraka zaidi
*NB:* Ukiunganisha hivi vyote kwa pamoja β Unapata silaha kamili ya asili dhidi ya uzito uliopitiliza.
Na uzuri ni kwamba: hakuna kemikali. Hakuna madhara. Ni asili tupu!
Epuka madawa ya Mitandaoni ya kupunguza Uzito, Ni hatari kwa afya yako...Sokoni ni sehemuΒ sahihi kwako....
Ukiunganisha hivi vyote kwa pamoja β Unapata silaha kamili ya asili dhidi ya uzito uliopitiliza.
Na uzuri ni kwamba: hakuna kemikali. Hakuna madhara. Ni asili tupu!
Epuka madawa ya Mitandaoni ya kupunguza Uzito, Ni hatari kwa afya yako...Sokoni ni sehemuΒ sahihi kwako....π